Kampuni ya burudani ya Relevant Deejayz Entertainment leo hii imepata uteuzi katika nafasi sita za Scope Awards ikiwemo collabo yao ya Madumedume iliyofanywa na Producer wao Morbiz Sheriff kule Thundersound records.
Vilevile msanii wa RDE Call Crity ambaye ameachia video mpya inayofanya vizuri kwa sasa, ameteuliwa kitengo cha Male Artiste of the year.
Mwenzake Lang’ Katalang’ ambaye pia anatambulika kama King Lang pia yupo kwenye kitengo cha Personality supporting talent of the year.
Blog shupavu ya Bonyeza star ambayo inasemekana inamilikiwa na kampuni ya RDE (Relevant Deejayz Entertainment) pia imeorodheshwa sawia na zingine kwenye Blog of the year category.
kwa sasa mashabiki wanaendelea kupiga kura zao za scope awards
Orodha kamili ndio hii hapa
SCOPE AWARDS VOTERS CHOICE( HOW TO VOTE).
CATEGORY 5 ( Song of the year )
> Madumedume By Vicky B Matata X Lang’ Katalang’ X Crity
CATEGORY 8 (Male Artiste of the Year)
> Call Crity
CATEGORY 12 (Record Label of the Year)
> Thundersound Records
CATEGORY 13 ( Producer of the Year)
> Morbiz Sheriff
CATEGORY 15 (Personality Supporting Talent of the Year)
> R.D.E King Lang’
CATEGORY 19 ( Blog of The Year )
> Bonyeza Star
VOTE ! VOTE ! VOTE !
LINK : https://www.scope254.co.ke/categories/
