Pamoja na kupitia mapito mengi katika maisha yake Ayubu,aliweza kuvumilia na kuzidi kumwamini Mungu mpaka dakika ya mwisho na hata kurudishiwa zaidi mali zilizoharibiwa. Hakika Ayubu alikuwa Mtumishi wa Mungu mwanifu sana.. hapa nami nimeigiza kama mke wa Ayubu ambaye imani iliyumba sana kutokana na majaribu waliyopitia na kumbwambia Ayubu mkufuru Mungu na ufe,lakini Ayubu akuyumba aliendelea kumwamini Mungu..Hakika tunajifunza kitu hapa,tusikate tamaa sababu ya majaribu tuzidi kumwamini Mungu siku zoote maana majaribu ni mtaji wa kukuza imani.Na hapa karibu utazame video hii ambayo nimeshirikishwa na Erick Kisindja. MUNGU AKUBARIKI SANA
Under Rehoboth pictures Label
Video by Rehoboth Pictures
Audio by Mujwauki