Rapper huyu controversial toka Kenya ambaye pia ameweza kushinda tuzo zaidi ya tatu mwaka uliopita anayekwenda kwa jina Lang’ Katalang’ leo hii ameonyesha kupendezwa na uchi wa Nandy na jinsi anavyozagaa kwenye mchanga katika video yake mpya baada ya kushirikishwa na Muimbaji Willy Paul toka Kenya.
Katalang alikuwa anawapa wawili hao pongezi kupitia mtandao wa facebook ambapo pia alimwomba Mola amzidishie Nandy matiti .
Huenda msanii huyu ambaye hivi majuzi aliorodheshwa na Chuo Kikuu cha Moi kama mojawapo wa wanafunzi wenye ushawishi mkubwa Kenya mzima, anamezea mate msanii wetu wa bongo Nandy.
Lang’ Katalang’ alitambulika nchi hiyo baada ya kutofautiana kimawazo na Presenter maarufu Willy M Tuva maarufu kama Mzazi.Wawili hao waliombana msamaha baadae .
Hii ni collabo ya pili ya Willy Paul na Nandy baada ya kuachilia ‘ Njiwa’ mwaka uliopita.
Katalang ama ukipenda King Lang’ vilevile ameshinda mashindano ya Ucheshi na Filamu ya vyuo vikuu kule Malindi Kenya kupitia music video yake”Ka Zote” iliyochukua nafasi ya kwanza wiki iliyopita.
Hivi tunajaribu kumfikia Nandy ili kubaini iwapo ametosheka na kiwango cha maziwa alichopewa na Mola au angependa kuzipanda kilo.
