Home News MZUKA KIBAO inawatakia WATANZANIA wote uchaguzi mwema siku ya leo

MZUKA KIBAO inawatakia WATANZANIA wote uchaguzi mwema siku ya leo


advertisement


Kutoka Mzuka Kibao, Nchini Kenya, Tunawatakia Watanzania wote Uchaguzi mwema.

MUNGU awaongoze mchague viongozi watakao Leta Mabadiliko makubwa kwenye maisha yenu ya kawaida na kuongeza mafanikio ya Nchini.

Tunawapenda Sana na Amani yenyu ni furaha yetu, Mungu awaongoze Tena na Tena.

DOWNLOAD MZUKA KIBAO NEW APP

FOR FAST LATEST UPDATES ON

AUDIOS, VIDEOS, MIXTAPES, FREE BEATS AND INSTRUMENTALS

CLICK HERE TO JOIN OUR WHATSAPP GROUP

Leave a Reply