Kutoka Mzuka Kibao, Nchini Kenya, Tunawatakia Watanzania wote Uchaguzi mwema.
MUNGU awaongoze mchague viongozi watakao Leta Mabadiliko makubwa kwenye maisha yenu ya kawaida na kuongeza mafanikio ya Nchini.
Tunawapenda Sana na Amani yenyu ni furaha yetu, Mungu awaongoze Tena na Tena.
