New Gospel Music | Mary Iseke – Uwepo Wako

0

Kwa Mara nyingine Tena kutoka inchini TANZANIA Mwimbaji anayekuja na kuonekana kufanya vizuri katika muziki wa injili “Mary Iseke” anakukaribisha kupakua na kusikiliza wimbo wake mpya uendao kwa jina “Uwepo Wako” wimbo huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Chief Elia.

Barikiwa

DOWNLOAD šŸ”‰

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

thirteen + 8 =