New Gospel Music | Vaileth Daniel – Chakutumaini Sina

0

Kwa mara ya kwanza katika tasnia na kiwanda cha muziki wa na ibaada, leo tunamtambilisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbi za injili na ibaada toka jijini Arusha anayefahamika kwa jina la VAILETH DANIEL, wimbo unaitwa cha kutumaini sina .. huu hapa upokee kwa moyo mkunjufu.
kwa mawasiliano na mwimbaji Vaileth Daniel kwa huduma na mialiko
namba za simu.. +255767212129
+ 255620787895
instagram vaileth danel

DOWNLOAD 🔉

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

ten + seven =