Home News Ari Loveness Kuachia Video yake mpya ya SITOKATA TAMAA

Ari Loveness Kuachia Video yake mpya ya SITOKATA TAMAA


Naam Katika harakati za Kila Siku basi Leo nimekutana na favorite female artiste Wangu kutoka 254. Basi kama desturi nikaona ni vizuri nipige naye gumzo kidogo ili atuambie mbona kimya kingi aisee.

NDOVU NI KUU - KRISPAH X KHALIGRAPH JONES X BOUTROSS

Mzuka Kibao: Mbona umekuwa kimya sana hujaachia kazi mpya?

Ari Loveness: Nimekua kimya japo sisana, kwasababu tupo wasanii wengi Neptune Records, so nmekuwa napisha wenzangu, na nlikuwa nmetambulisha new female gospel artist, SALLY SALOME, so nikawa nmempa time aweze kutambulika.

Mzuka Kibao: Kwanza kando na muziki ,je! Unajihusisha na nini tena?

Ari Loveness: Mmh kando na mziki mi ni assistant Manager Neptune Records, na pia mi nimwanafunzi wa chuoni (Kenya Film School-Nairobi).


Mzuka Kibao: Video inatoka lini,imefanywa na director yupi,na imecost pesa ngapi?

Ari Loveness: Video kulingana na management, inafaa kutoka next week Monday 18/3/2019,na director anaitwa FLAVA(EDITORS FILM)Ambae tunafanya kazi nayeye,na kuhusu garama za video management ndio inajua kama nipesa ngapi japo najua nipesa mob.


Mzuka Kibao: Ni wasanii gani unawakubali hapa coast,Nairobi, Tz? Na hata nchi zengne?

Ari Loveness: Hapa coast wapo wengi sana,ila napenda sana Nyota Ndogo kwa kuwa yeye ndo Msanii wa kwanza kuonesha sapot kwangu,kupost,Ku share kazi zangu na pia kunitia moyo,na pia napenda kazi yake.Nairobi napenda ,Sanaipei Tande,Mercy Masika,Gloria Muliro,Otile Brown na Wengi.Tz napenda Rubi,Nandi,Jay Dee,na nchi zengne napenda Alaine.

Mzuka Kibao: Tukimaliza je ! Kuna wasanii ambao unawasapot ambao unawakubali?

Ari Loveness: Yeah wapo ,Allay Fabrizio ambae ndo director Neptune Records, na C.E.O Hazzard Classic, Sally Salome,Kaka Mswazi Kenya. Napenda wanachokifanya.

Mzuka Kibao: Asante Kwa muda wako tunakutakia Mafanikio katika safari yako yamziki nasi tupo kwa ajili yakusapot vipaji.

Ari Loveness: Asante nmeshukuru sana Mzuka Kibao

Angalia picha za Ari Loveness

Searching - 2Baba (aka 2Face Idibia) feat. Bongos Ikwue Macvoice Ft. Leon Lee & Rayvanny – Pombe 🎡 🎢 🎹 🎼 πŸ— πŸ’ƒ 🎸

SONG OF THE WEEK

MANIFEST - King Kaka (Rabbit) feat Nviiri The Storyteller Joeboy - Alcohol Joeboy - Show me οΈπŸ’―πŸ’―

οΈπŸ’―πŸ’―

FOR FAST LATEST UPDATES ON

AUDIOS, VIDEOS, MIXTAPES, FREE BEATS AND INSTRUMENTALS

CLICK HERE TO JOIN OUR WHATSAPP GROUP

πŸŽ΅πŸŽΆπŸŽΉπŸŽΌπŸ— πŸ’ƒ πŸŽΈπŸŽ§πŸ”‰ Mercy-Chinwo-Onememma Lucky-Dube-Remember-Me Omah-Lay-Understand Guchi-Jennifer Chike-Running-To-You-ft-Simi Lucky-Dube-Prisoner AZAWI-Majje-ft-Fik-Fameica Kidi-Touch-It Nandy-Nimekuzoea Guchi-Jennifer-Remix-ft-Rayvanny

MZUKA KIBAO TELEGRAM CHANNEL

SUBSCRIBE TO STAY UPDATED

🎡🎡🎢🎡🎡🎀🎡🎡🎹

🎡 🎢 🎹 🎼 πŸ— πŸ’ƒ 🎸

Woman - Simi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here