Home Gospel New Gospel Music | Natasha Lisimo ft Erick Kisindja – Ayubu

New Gospel Music | Natasha Lisimo ft Erick Kisindja – Ayubu

NDOVU NI KUU - KRISPAH X KHALIGRAPH JONES X BOUTROSS

Pamoja na kupitia mapito mengi katika maisha yake Ayubu,aliweza kuvumilia na kuzidi kumwamini Mungu mpaka dakika ya mwisho na hata kurudishiwa zaidi mali zilizoharibiwa. Hakika Ayubu alikuwa Mtumishi wa Mungu mwanifu sana.. hapa nami nimeigiza kama mke wa Ayubu ambaye imani iliyumba sana kutokana na majaribu waliyopitia na kumbwambia Ayubu mkufuru Mungu na ufe,lakini Ayubu akuyumba aliendelea kumwamini Mungu..Hakika tunajifunza kitu hapa,tusikate tamaa sababu ya majaribu tuzidi kumwamini Mungu siku zoote maana majaribu ni mtaji wa kukuza imani.Na hapa karibu utazame video hii ambayo nimeshirikishwa na Erick Kisindja. MUNGU AKUBARIKI SANA

Under Rehoboth pictures Label
Video by Rehoboth Pictures
Audio by Mujwauki

DOWNLOAD πŸ”‰

🎡 🎢 🎹 🎼 πŸ— πŸ’ƒ 🎸

SONG OF THE WEEK

V THE ALBUM By Brown Mauzo Utanizalia - BROWN MAUZO Moyo Wangu - BROWN MAUZO Yumba - Brown Mauzo Γ— Masauti Naoa - Brown Mauzo Nipokee - Brown Mauzo My lover - Brown Mauzo Γ— Mwasi Butterfly - Brown Mauzo Body - Brown Mauzo x Ndovu kuu Mawazo Remix - Brown Mauzo ft Baraka The Prince x kaa La Moto Wewe Tu - Brown Mauzo Moyo Wangu Accoustic - Brown Mauzo Dawa - Brown Mauzo οΈπŸ’―πŸ’―

FOR FAST LATEST UPDATES ON

AUDIOS, VIDEOS, MIXTAPES, FREE BEATS AND INSTRUMENTALS

CLICK HERE TO JOIN OUR WHATSAPP GROUP

FRISKY By Maandy Mambo Gani - MAANDY Relax - MAANDY Shash Na Lipgloss - MAANDY MoneyBack Freestyle - MAANDY Magizani - MAANDY feat. BREEDER LW Bad Gal Anthem - MAANDY feat. FENA Forbidden Fruit - MAANDY Hivi Na Hivo - MAANDY Uongo - MAANDY Money Man - MAANDY Sirudi Home Remix - MAANDY feat. BREEDER LW & NDOVU KUU One Day - MAANDY

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here