Home News Ari Loveness Azindua Vipaji Vipya Mtaani

Ari Loveness Azindua Vipaji Vipya Mtaani

NDOVU NI KUU - KRISPAH X KHALIGRAPH JONES X BOUTROSS

Akizungumza na Mzuka Kibao, Grace Pendo Wanje almaarufu ARI LOVENESS Alisema hivi..

Ari Loveness: Kwakweli kuna wasichana ambao wanaimba lakini wamekosa support, ni marafiki zangu na nmeona rasmi niweze kuwasaidia wapate nafasi yakutangaza talent zao katika studio zetu za Neptune Records chini ya producer Lameckboy Kenya.

Mzuka Kibao: Hawa wasanii nikina Nani?

Ari Loveness: Msanii mmoja anaitwa Berris, Na Mwengine anaitwa Jackline(Salome).

Barris
Jackline (Salome)

Mzuka Kibao: Wanaimba style gani za muziki?

Ari Loveness: Berris anaimba secular na Jackline(Salome) anaimba gospel na wote wanatokea Mombasa.

Mzuka Kibao: Imekuchukua Muda Gani kugundua vipaji vyao?

Ari Loveness: Nimemjua Berris kitambo, na Jackline nmemjua kama miezi mitatu wakati nikishoot video yangu ya sitokata tamaa, kulingana nauwezo wangu na management yangu ilikuwa kwanza tunawapangia kwanza hatukutaka kuharakisha mambo, Kila kitu na wakati wake.

Mzuka Kibao: Kwahio wewe na management yako ya Neptune Records ndio mnawamangae?

Ari Loveness: Naam Mimi ndo naangalia upande was wasanii wakike maana nirahisi kujua wanahitaji nini ndio niandike report kwa producer, na Anaesimamia wasanii wakiume ni Allay Fabrizio na Kaka Mswazi Kenya na Lameckboy ana finance.

Producer Lameckboy

Mzuka Kibao: Je ungetaka kuongeza vipaji zaidi ama wanatosha? Na wataanza kurekodi lini??

Ari Loveness: Wakati wakuongeza wasanii ukifika ntatafuta, kuhusu wao kurekodi wanaanza this week Sunday 30th Dec 2018 Salome anafaa kuanza kurekodi na next week ya next year Berris naye Ata record pia kulingana na programme.

Mzuka Kibao: Pongezi sana kwa jambo hili nauzidi kuwasapot wafike mbali as in level ya juu.

Ari Loveness: Asante sana

ANGALIA PICHA ZA BARRIS NA SALOME

Searching - 2Baba (aka 2Face Idibia) feat. Bongos Ikwue 🎡 🎢 🎹 🎼 πŸ— πŸ’ƒ 🎸

SONG OF THE WEEK

MANIFEST - King Kaka (Rabbit) feat Nviiri The Storyteller Joeboy - Alcohol Joeboy - Show me οΈπŸ’―πŸ’―

οΈπŸ’―πŸ’―

FOR FAST LATEST UPDATES ON

AUDIOS, VIDEOS, MIXTAPES, FREE BEATS AND INSTRUMENTALS

CLICK HERE TO JOIN OUR WHATSAPP GROUP

πŸŽ΅πŸŽΆπŸŽΉπŸŽΌπŸ— πŸ’ƒ πŸŽΈπŸŽ§πŸ”‰ Mercy-Chinwo-Onememma Lucky-Dube-Remember-Me Omah-Lay-Understand Guchi-Jennifer Chike-Running-To-You-ft-Simi Lucky-Dube-Prisoner AZAWI-Majje-ft-Fik-Fameica Kidi-Touch-It Nandy-Nimekuzoea Guchi-Jennifer-Remix-ft-Rayvanny

MZUKA KIBAO TELEGRAM CHANNEL

SUBSCRIBE TO STAY UPDATED

🎡🎡🎢🎡🎡🎀🎡🎡🎹

🎡 🎢 🎹 🎼 πŸ— πŸ’ƒ 🎸

Woman - Simi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here