Home Artistes ONE on ONE | Meet Jack Sonko Coast Bassed Dancehall Artiste

ONE on ONE | Meet Jack Sonko Coast Bassed Dancehall Artiste

OK Leo katika mishe zangu za kila siku nimekutana na msanii Jackson a.k.a Jack Sonko ambae anatokea ndani ya lebel ya Neptune Records, ambayo inayomilikiwa na Producer Lameckboy Kenya.

Moja kwa moja pata kumsikia:

Mzuka Kibao : Majina Kamili wanakuita nani?

Jackson: Majina yangu naitwa Jackson Karisa Kalume.

Mzuka Kibao : Jack Sonko imekujaje?

Jackson: ahaa Hio jina nlipewa na masela mtaani, vile mihupenda kuvaa machain kama hizi unaona, yah so wakaniona Sonko.


Mzuka Kibao : Freshi kabisa mziki uliuanza lini hasa ile serious?

Jackson: Mziki nimeanza kitambo, ila 2017 ndio nikaanza serious, na producer kijana wangu Lameckboy Kenya wa Neptune Recordz.

Mzuka Kibao : Ulijuana na producer Lameckboy Kenya lini au kupitia njia gani?

Jackson: Pro Lameckboy Kenya nlimjua hata kabla awe producer, nimeishi nae kwangu akijifunza kuunda mabiti nampa Pesa anaenda cyber akiinstall fruity loop, na akienda kwa Emmy dee, so ni kijana wangu na najivunia kwa Sasa, Niki Jana ambaye anabidii sana, na amesaidia wasanii wengi sana, kama vile Ari Loveness, Allay Fabrizio, Kaka Mswazi Kenya, Lil Mizze, T Bouy na wengi.

Mzuka Kibao : OK safii. Hivi sai una Nyimbo ngapi bro?

Jackson: Kwa sasa nko na songs tano,

1. Dear Mama

2. This Friday

3: In love ft Lameckboy Kenya

4: One by one ft Lameckboy Kenya

5:Holla, (Hello in Spain).

Mzuka Kibao : Unamalengo gani katika hu mziki na watu watarajie nini zaidi?

Jackson: Namalengo yakufanya videos poa napia mziki ufike far level ya juu, na mafans waexpect vitu poa sana.

Mzuka Kibao . Asante sana kwa muda wako bro na kila lakheri katika kazi yako.

Jackson: Asante pia

Cheki picha za J Sonko

🎡 🎢 🎹 🎼 πŸ— πŸ’ƒ 🎸

MUST WATCH BEAUTIFUL LUO "NYOMBO" CEREMONY IN SIAYA AS EDWIN DOLA PAYS KSH. 200M BRIDE PRICE TO LAUREEN'S PARENTS

β˜οΈπŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ”‰πŸ”‰

FOR FAST LATEST UPDATES ONAUDIOS, VIDEOS, MIXTAPES, FREE BEATS AND INSTRUMENTALS

CLICK HERE TO JOIN OUR WHATSAPP GROUP

πŸŽ΅πŸŽΆπŸŽΉπŸŽΌπŸ— πŸ’ƒ πŸŽΈπŸŽ§πŸ”‰

MZUKA KIBAO TELEGRAM CHANNEL

SUBSCRIBE TO STAY UPDATED

🎡 🎡 🎢 🎡 🎡 🎀 🎡 🎡 🎹 🎼 πŸ— πŸ’ƒ  

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here