Home News Hatimaye siri imefichuka chanzo cha Director Max Kujitoa “No Limit Pictures”

Hatimaye siri imefichuka chanzo cha Director Max Kujitoa “No Limit Pictures”

Katika pilka zetu tuliamua kumtafuta Director Max, Jamaa aliyekuwa video director wa kampuni ya Epic Media zamani na kisha kuiacha na kujiunga na kampuni ya Video ya “No Limit Pictures” atujuze kwanini akaitema kampun ya No Limit Pictures na kwa sasa anafanya ipi.

Mzuka kibao: Majina yako wanakuitaje?

Max: Mi Naitwa Maina A.K.A Director Max

Mzuka Kibao: Ulianza kufanya kazi na kampuni gani?

Max: Nlianza kufanya kazi na kampuni ya Epic Media kisha nikajiunga na kampuni ya No Limit Pictures lakini nkajitoa na kwa sasa nina Lebel yangu ya Creative Pictures.

Mzuka Kibao: Ni sababu gani zilizopelekea wewe kujitoa kwa kampuni hio ya No Limit Pictures?

Max: They didn’t go according to our contract agreement. They never paid for the projects we did, like the Mwafaka Awards 2016 and Mzuka Awards and some music videos.

Mzuka Kibao: Twasikia fununu kuwa uliachwa na mpenzi wako wa Zamani kisa hauna hela yakumkimu je nikweli?

Max: Hizo ni porojo tu, lakini nliachana na Mpenzi wa zamani na kwa sasa am dating a super model called Lynn.

Mzuka kibao: Na kando na wasanii wa nairob je kule pwani ungetaka kufanya kazi na msanii gani kule ili you expand soko lako?

Max: Mombasa ningependa kufanya kazi na wasani kama, Lameck boy Kenya, Ari Loveness, Allay Fabrizio, Susumila, Sudi Boi, Shy Man, napenda wanavyoimba na ningependa nifanye nao kazi.

Kali Mdogo | Kwa Sasa Mziki Wangu Ndio Mwanamme (Mzuka Preview Show)

Mzuka Kibao: Labda kuna mashabiki wengine hawajui Director Maina Max amefanyia video wasanii kama gani na kwa sasa watarajie nini kutoka kwa lebo yako mpya ya creative picture?

Max: Nime work na wasanii wengi sana kama Awatha Jr video yake ya Tupendane. Mashabiki watarajie videoz kali na new things from Creative Pictures.

Mzuka kibao: Watu wakitaka kufanya kazi nawewe wakupate vipi labda kwa social media?

Max: Wanaweza nifwata
Facebook@ Maina max
Instagram@Maina max
Tweeter@ Maina Max
Mobile +254713643613

Mzuka Kibao : Asante kwa mda wako

Max: ubarikiwe kaka

Picha za Director Max akiwa Kazi na wakiwa na Lynn

β˜οΈπŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ”‰πŸ”‰

FOR FAST LATEST UPDATES ON

AUDIOS, VIDEOS, MIXTAPES, FREE BEATS AND INSTRUMENTALS

CLICK HERE TO JOIN OUR WHATSAPP GROUP

  πŸŽ΅πŸŽΆπŸŽΉπŸŽΌπŸ— πŸ’ƒ πŸŽΈπŸŽ§πŸ”‰

MZUKA KIBAO TELEGRAM CHANNEL

SUBSCRIBE TO STAY UPDATED

🎡🎡🎢🎡🎡🎀🎡🎡🎹

🎡 🎢 🎹 🎼 πŸ— πŸ’ƒ 🎸
Previous articleAudio | Sync – Nare
Next articleAudio+Video | ALPHA QUEEN – Atanipenda
DISCLAIMER: Mzukakibao.com do not claim ownership of any of the Songs and Videos that we upload and any copyright infringement complaints will be executed immediately! It is our policy to honor all take-down requests. Email: mzukakibao194@gmail.com Twitter: @mzukakibao Facebook: Mzuka Kibao Instagram: @mzukakibao